Serikali Kuu hutumia zaidi ya mapato kulipa madeni, unapata huduma kwa wananchi haitoshi -Victor

  • | TV 47
    31 views

    "Katika Serikali Kuu, kwa kila asilimia 100 ya mapato, zaidi ya asilimia 60 yanaenda kulipa madeni. Ina maana chini ya asilimia 40 inatumika kulipa mishahara, kufanya maendeleo, na kugawia serikali za kaunti. Ukiongeza pia ufisadi, unapata hakuna huduma za kutosha kwa wananchi." -Victor Otieno, Mkurugenzi Mtendaji, VIFFA

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __