Serikali kuu na kaunti zilikubali kutoa Ksh.3.5B za madaktari

  • | Citizen TV
    3,194 views

    Serikali kuu na zile za kaunti zilikuwa zimependekeza kulipa madeni ya madaktari ya shilingi bilioni 3.5 kama mojawapo ya mikakati ya kusitisha mgomo na madaktari kurejea kazini. Serikali hizo zilikuwa zimekubaliana na madaktari kuhusu maswala yote ila tu lile la madaktari wanafunzi