- 234 viewsDuration: 3:32Siku Chache baada ya wizara ya Utalii kuchapisha mchakato wa kuhamisha mbuga ya Kitaifa ya Amboseli hadi Kwa serikali ya Kajiado kwenye gazeti Rasmi la Serikali , Bunge la Kajiado Kajiado linatarajiwa kuwasilisha mswada huo kwenye vikao vya bunge Mshinani juma lijalo katika eneo la Amboseli.
