Serikali kuwalipa watumishi wa umma nyongeza ya msahahara

  • | KBC Video
    13 views

    Chama Cha Watumishi wa Umma (UKCS) kimesitisha mgomo wake uliopangwa baada ya serikali kutekeleza kikamilifu awamu ya pili ya Makubaliano ya Pamoja kuhusu nyongeza ya mishahara. Waziri wa Utumishi wa Umma na Maendeleo Justin Muturi,amesema itaigharimu serikali shilingi bilioni 1.5 kutekeleza nyongeza hiyo. Katibu mkuu wa chama hicho Tom Odege,alisema malimbikizi ya nyongeza ya mishahara ya kuanzia mwezi Julai mwaka huu yataboresha utoaji wa huduma. Wakati uo huo, waziri la leba Dkt Alfred Mutua ametangaza nyongeza ya asilimia sita ya kima cha chini cha mshahara kwa wafanyikazi wa huu nchini kufikia Oktoba mwaka huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive