Serikali kuwandoa watu wanaoishi kwenye ardhi ya idara ya magereza mjini Kitale

  • | TV 47
    127 views

    Serikali imeapa kutekeleza uamuzi wa mahakama ya juu ya kuwandoa watu wanaoishi kwenye ardhi ya idara ya magereza mjini Kitale huku waziri wa ardhi Alice Wahome akiwaonya vikali maafisa wa tume ya ardhi wanaodaiwa kushirikiana na wananchi katika kughushi stakabadhi za umiliki wa ardhi nchini.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __