Serikali kuwapa vyeti mafundi wa juakali ili kubuni ajira kwa vijana

  • | Citizen TV
    425 views

    Wizara ya elimu imekumbatia mfumo mpya wa kuwatambua wafanyakazi wa sekta ya juakali ambao watapokea vyeti rasmi ili kubuni ajira kwa vijana. Mfumo huu unaotarajiwa kuwasaidia mafundi wa juakali kupata kazi katika sekta rasmi utazinduliwa mwezi Oktoba mwaka huu.