Serikali kuwapeleka polisi wa akiba zaidi katika eneo la Pokot Magharibi

  • | KBC Video
    44 views

    Serikali ya kitaifa imepongezwa kwa juhudi zake za kurejesha amani na utulivu katika kaunti ya Pokot Magharibi kwa kupeleka maafisa wa polisi wa akiba katika eneo hilo. Akizungumza katika shule ya upili ya Masol, gavana wa eneo hilo Simon Kachapin alisema kuwa serikali ya kaunti hiyo itashirikiana na serikali ya kitaifa kupeleka maafisa zaidi wa polisi wa akiba katika eneo hilo ili kukabiliana na wale wanaojaribu kuhujumu maendeleo ya kaunti hiyo kwa kusababisha ghasia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive