- 7,598 viewsDuration: 2:24Serikali iko kwenye darubini leo kuhusiana na kufurushwa kwa mwanaharakati mmoja ambaye ni wakili kutoka Zimbabwe Brian Kagoro. Kagoro alizuiliwa katika uwanja wa JKIA kwa saa kumi na kisha kurudishwa Afrika kusini. Meneja huyo wa mipango wa shirika la open society foundations alitangazwa kutoruhusiwa nchini kwa madai ya kufadhili maandamano dhidi ya serikali.