Serikali ya Homa Bay yaandaa kongamano la wavulana

  • | Citizen TV
    151 views

    Serikali ya kaunti ya Homa Bay kwa mara ya kwanza imeanza mchakato wa kuimarisha maisha ya wavulana kama mojawapo ya mbinu za kuinua masomo yao na hata kuwafundisha maadili ya jamii.