Serikali ya Israeli yafadhili ukulima wa spirulina katika kaunti ya Nakuru

  • | Citizen TV
    802 views

    Kaunti ya Nakuru imetia sahihi mkataba wa maelewano kati yake na serikali ya Israeli ili kufanya ukulima wa mmea wa spirulina katika eneo bunge la Njoro kwa manufaa ya kuimarisha mradi wa utoaji chakula kwa shule.