Serikali ya Japan yashirikiana na IGAD kutoa mafunzo

  • | Citizen TV
    87 views

    Haalmashauri ya maendeleo kati ya mataifa mbalimbali IGAD kwa ushirikiano na Serikali ya Japan imezindua mafunzo ya siku tatu ya uongozi kwa ajili ya amani na demokrasia kwa wanawake na vijana wa Sudan jijini Mombasa