- 553 viewsDuration: 3:12Serikali ya Kaunti ya Kajiado imekuwa ikikiuka uamuzi wa mahakama uliotupilia mbali nyongeza ya ushuru kwenye vipande vya ardhi hadi shilingi 7,500 kama ilivyokuwa imependekezwa. Katika uamuzi uliotolewa tarehe 19 mwezi uliopita, mahakama iliamuru wazi kuwa kiwango halali cha ushuru ni shilingi elfu moja mia tano pekee