Serikali ya kaunti Migori yashirikiana na wazazi ili kukabiliana na ndoa za mapema

  • | NTV Video
    90 views

    kaunti ya migori ikiwa mojawapo ya kaunti zinaongoza katika visa vya mimba na ndoa za mapema imeshirikiana na serikali ya kitaifa katika mpango wa kuwaleta pamoja wazazi kuhusiana na maswala yanayoathiri maisha ya wanao wa kike na wa kiume.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya