Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya kaunti Nakuru yaanzisha mpango wa lishe shuleni ili kukabiliana na utapiamlo

  • | Citizen TV
    233 views
    Duration: 4:31
    Licha ya kaunti ya Nakuru kuwa miongoni mwa kaunti zinazozalisha chakula kingi nchini , kaunti hiyo bado inashuhudia visa vya juu vya utapiomlo hasa katika kaunti ndogo za Nakuru magharibi, Nakuru Mashariki na Rongai. Watoto kati ya 90 na 130 hulazwa katika hospitali ya rufaa ya nakuru kila mwezi kutokana na utapiamlo. Hali hii iliichochea kaunti hiyo kuanzisha mpango wa lishe kwa wanafunzi wa shule za chekechea kama njia moja ya kupambana na utapiamlo.