Serikali ya kaunti ya Busia na benki ya KCB zafadhili elimu ya kiufundi

  • | Citizen TV
    108 views

    Serikali ya kaunti ya Busia kwa ushirikiano na benki ya kcb inanuia kuwafadhili vijana zaidi ya 500 kujinga na vyuo vya kiufundi. mpango huo utagharimu serikali ya kaunti ya busia shilingi milioni 17.5 huku benki hiyo ikiongezea kiasi kama hicho.