Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya Kaunti ya Kajiado imebuni kamati maalum ya kusimamia mbuga ya Amboseli

  • | Citizen TV
    188 views
    Duration: 3:33
    Serikali ya Kaunti ya Kajiado imebuni kamati maalum inayoongozwa na Dr. David Western ambayo itaongoza mchakato wa kuanza kusimamia Mbuga ya Amboseli kwanzia mwezi julai mwaka huu baada ya usimamizi huo kukabidhiwa serikali ya Kajiado mwaka jana na Rais William Ruto.