Serikali ya kaunti ya Kajiado yafikia malengo yake ya kukusanya shilingi billioni moja

  • | Citizen TV
    118 views

    Serikali ya kaunti ya Kajiado imetangaza kuafikia malengo yake ya kukusanya shilingi billioni moja kama mapato yake ya mwaka wa kifedha wa 2023/2024. Waziri wa Fedha wa kaunti hiyo Alias Kisota anasema mfumo mpya uliotumika kukusanya fedha umesaidia pakubwa.