Serikali ya kaunti ya Kajiado yapiga marufuku shughuli za kilimo karibu na vyanzo vya maji

  • | Citizen TV
    1,144 views

    Serikali ya kaunti ya Kajiado Imepiga marufuku shughuli za kilimo karibu na vyanzo vya maji na kuwaagiza mamia ya wakulima wanaoendesha shughuli hizo huko Loitokitk kuondoka mara moja ili kupisha upanzi wa miti.Gavana wa Kajiado Joseph ole Lenku anasema wakulima wamevamia vyanzo vya maji ili kuendeleza kilimo na hivyo kusabisha uharibifu mkubwa ambao umechangia vyanzo hivyo kuanza kukauka.