Serikali ya Kaunti ya Kajiado yawapa wakaazi uhuru ya kuvuna miti iliyokomaa

  • | Citizen TV
    206 views

    Serikali Ya Kaunti Ya Kajiado Imewapa Wakazi Uhuru Wa Kuvuna Miti Iliyokomaa Kutoka Kwenye Msitu Wa Loitokitok. Hatua Hiyo Inalenga Kutoa Nafasi Ya Miti Zaidi Kupandwa Msituni.