Serikali ya kaunti ya Kilifi imefaulu kuangamiza ugonjwa wa kipindupindu

  • | Citizen TV
    255 views

    Serikali ya kaunti ya Kilifi imetangaza kufaulu katika vita dhidi ya kipindupindu baada ya kesi ya mwisho kukabiliwa miaka 7 iliyopita.