Serikali ya kaunti ya Kilifi yaanzisha ujenzi wa barabara tatu muhimu

  • | KBC Video
    5 views

    Serikali ya kaunti ya Kilifi imeanzsisha ujenzi wa barabara tatu muhimu katika eneo hilo. Serikali ya kaunti hiyo inatarajia kutumia shilingi milioni-140 kufadhili awamu ya kwanza ya ujenzi wa barabara ya Kijiwetanga-Jakaranda iliyoko Wadi ya Ganda, awamu ya pili ya ujenzi wa barabara ya Goshi-Madunguni katika Wadi ya Kakuyuni na ukarabati wa barabara katika kituo cha biashara cha Marafa kilichoko Wadi ya Marafa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive