Serikali ya Kaunti ya Kirinyaga yajenga ghala la kisasa

  • | Citizen TV
    128 views

    Wakulima wa kahawa kaunti ya Kirinyaga wamepigwa jeki baada ya serikali ya kaunti hiyo kujenga bohari lenye uwezo wa kuhifadhi magunia 40,000 ya kahawa.