3 Mar 2026 1:46 pm | Citizen TV 160 views Duration: 1:15 Serikali ya kaunti ya Kwale imetoa tani 39 za mbegu kwa wakulima 15,000 wa kaunti hiyo katika matayarisho ya upanzi wa msimu wa mvua ya masika.