Serikali ya kaunti ya Laikipia yapanga kuboresha ng'ombe aina ya borana

  • | Citizen TV
    624 views

    Serikali ya kaunti ya laikipia iko kwenye harakati za kuongeza na kuboresha nyama ya ng’ombe aina ya Borana ili iweze kuuzwa kwenye masoko ya kimataifa.