Serikali ya kaunti ya Lamu yakabiliwa na ukosefu wa daktari wa upasuaji wa maiti

  • | Citizen TV
    241 views

    Serikali ya kaunti ya Lamu inakabiliwa na ukosefu wa daktari wa upasuaji wa maiti. hali hiyo imechangia familia ambazo zinashuku wapendwa wao wamefariki katika njia isioeleweka kuwazika bila kutambua kilichosababisha vifo.