Serikali ya Kaunti ya Lamu yatenga ardhi ya kuendeleza kilimo na ufugaji

  • | Citizen TV
    185 views

    Serikali ya Kaunti ya Lamu ina mpango wa kutenga ardhi itakayotumiwa na wafugaji kulisha mifugo wao, kando na ardhi ambayo itatumiwa kwa kilimo. mpango huo unalenga kudhibiti changamoto za usalama katika kaunti ya lamu.