Serikali ya kaunti ya Machakos imetekeleza mikakati ya kuimarisha ukusanyaji mapato

  • | KBC Video
    8 views

    Serikali ya kaunti ya Machakos imetekeleza mikakati ya kuimarisha ukusanyaji mapato katika kaunti hiyo. Miongoni mwa mikakati hiyo ni kuanzishwa kwa mfumo wa malipo usiohusisha matumizi ya pesa taslimu, kujenga nyenzo na kuajiri wafanyakazi wa kutosha kutimiza lengo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive