Serikali ya kaunti ya Mandera kusambaza tena chakula cha msaada

  • | KBC Video
    51 views

    Serikali ya kaunti ya mandera imeanza awamu ya pili ya usambazaji wa chakula cha msaada kwa wakazi kuwanusuru kutokana na athari za kiangazi. Familia alfu 60 zikiwa ni pamoja na za wenye mahitaji maalum na wakimbizi katika wadi 30, zinalengwa kwenye mpango huo. Gavana wa Mandera Mohamed Adan Khalif ualitoa wito kwa serikali kuu na wahisani wengine kuingilia kati ili kuokoa maisha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #drought #News