13 Mar 2026 10:10 am | Citizen TV 174 views Duration: 1:47 Serikali ya Kaunti ya Migori, kupitia Idara ya Afya, imezindua usambazaji wa dawa ya kuzuia virusi vya Ukimwi kwa sindano, Lenacapavir, katika juhudi za kupunguza kasi ya maambukizi ya HIV katika kaunti hiyo..