Serikali ya kaunti ya Samburu yaongeza mgao wa fedha

  • | Citizen TV
    68 views

    Serikali ya kaunti ya Samburu imeongeza mgao wa fedha za karo hadi asilimia themanini. Akizungumza katika makao makuu ya kaunti hiyo, gavana wa samburu lati lelelit amesema mpango huo ni wa kufadhili elimu ya wanafunzi kutoka familia maskini. Amewataka wafugaji kuwapeleka wana wao shuleni kwa faida ya siku za usoni