Serikali ya kaunti ya Samburu yawaondoa watoto mitaani

  • | Citizen TV
    567 views

    Wadau katika Kaunti ya Samburu Kwa ushirikiano na serikali ya kitaifa wameanzisha mchakato unaolenga kuwaondoa watoto wa kurandaranda mitaani katika Mji wa Maralal na kuwarejesha kwao. Kulingana nao, ongezeko la watoto hao mjini limechangia kudorora kwa usalama.