Serikali ya kaunti ya Siaya inanuia kupanua uwezo wake wa ufadhili wa masomo

  • | Citizen TV
    628 views

    Serikali ya kaunti ya Siaya inanuia kupanua uwezo wake wa ufadhili wa masomo kwa kuzidisha mgao na kujumuisha mafunzo ya ujuzi katika taasisi za masomo ya kiufundi ili kujenga rasilimali za kazi wakati kila mwanafunzi anapata fursa ya masomo.