17 Mar 2026 1:43 pm | Citizen TV 53 views Duration: 1:52 Serikali ya kaunti ya Turkana imenunua na kusambaza dawa pamoja na vifaa vya matibabu za zaidi ya shilingi milioni tisini katika zahanati na hospitali za kaunti hiyo.