Serikali ya kaunti ya Uasin Gishu yaandaa maombi maalum kuiombea kaunti hiyo

  • | Citizen TV
    178 views

    Serikali ya kaunti ya Uasin Gishu hii leo imeandaa maombi maalum pamoja na Viongozi wote wa madhehebu mbalimbali wa kaunti kuiombea kaunti hiyo. John Wanyama yupo katika ibada hiyo na tunajiunga naye moja kwa moja kwa mengi zaidi.