- 838 viewsDuration: 1:30Serikali ya kaunti ya kirinyaga imeanzisha operesheni kubwa ya kuondoa nyumba na maghorofa haramu yote isiyo halali iliyojengwa juu ya mifereji ya maji, katika juhudi za kuzuia mafuriko yanayotarajiwa kufuatia mvua za msimu wa oktoba.