18 Mar 2026 1:12 pm | Citizen TV 98 views Duration: 3:24 Serikali ya kaunti ya samburu imeongeza juhudi ya kurahisisha mchakato wa kutoa elimu ya msingi kwa wanafunzi wafugaji, hususan kwa kujenga shule za chekechea maeneo ya nyanjani yaliyotelekezwa na kusalia nyuma kimaendeleo.