Serikali ya kaunti yatoa matibabu bila malipo hospitalini Busia

  • | Citizen TV
    43 views

    Idara ya afya ya serikali ya kaunti ya Busia imeweka mikakati ya kuhamasisha wakunga na maafisa wa afya nyanjani kuhusu ugonjwa wa nasuri ili kupunguza idadi ya wanawake wanaopatwa na hali hiyo