Serikali ya kauti Pokot Magharibi yaanzisha mikakati ya kuhakikisha hospitali zina vifaa vya kutosha

  • | Citizen TV
    211 views

    Serikali ya kauti Pokot Magharibi, imeanzisha mikakati ya kuhakikisha hospitali zina vifaa vya kutosha katika maeneo ya mashinani, ili kuzuia akina mama kusafiri mwendo mrefu kupata huduma za kujifungua.