Serikali ya Kenya kwanza imeonywa dhidi ya kumshambulia Raila Odinga

  • | West TV
    65 views
    Seneta wa kaunti ya Vihiga amejitokeza na kuonya serikali ya Kenya Kwanza kukoma kumshambulia kinara wa Azimio La Umoja Raila Odinga kila mara huku akiitaka kusita kutoa ahadi hewa kwa Wakenya