Serikali ya Kenya Kwanza yasema itaboresha mfumo wa elimu

  • | Citizen TV
    72 views

    Rais William Ruto amesema serikali yake inaendelea na mageuzi ya elimu ili kuhakikisha wanafunzi wanapata maarifa na stadi zinazohitajika katika ulimwengu wa sasa.