Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya kenya yashirikiana na halmashauri ya IGAD kutoa mafunzo kwa viongozi vijana Mombasa

  • | Citizen TV
    116 views
    Duration: 1:24
    Halmashauri ya Maendeleo kati ya serikali za mataifa mbalimbali (IGAD) imezindua kundi la tatu chini ya Chuo chake cha Uongozi wa Vijana wa Kikanda kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa viongozi vijana katika eneo hili.