18 Sep 2025 1:42 pm | Citizen TV 44 views Kaunti ya Kirinyaga imepiga hatua ya kuboresha huduma za maji kwa kukamilisha miradi kadhaa ya visima vya maji huku ikilenga kukamilisha miradi mingine mipya 42 .