Serikali ya Lamu yaagiza kufungwa kwa vibanda kufuatia mkurupuko wa ugonjwa wa kipindupindu

  • | Citizen TV
    584 views

    Serikali ya kaunti ya Lamu imeagiza kufungwa kwa vibanda vya vyakula vinavyoendeshwa barabarani kufuatia mkurupuko wa ugonjwa wa kipindupindu unaosababishwa na mvua kubwa inayonyesha eneo hilo. Hatua hii imeripotiwa kufuatia ripoti za maambukizi ya ugonjwa wa kipindu pindu kisiwani humu.