Serikali ya Machakos yadhamiria kuwawezesha vijana

  • | KBC Video
    3 views

    Gavana wa kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti sasa anasema kuwa serikali yake inadhamiria kuongeza mgao wa bajeti kufadhili mpango mpango unaoendelea wa kuwawezesha vijana katika kaunti ya Machakos kukidhia idadi maradufu ya vijana wanaojiunga na shirika la vijana wa huduma kwa taifa-NYS kutoka idadi ya sasa ya vijana elfu-moja.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive