Serikali ya Machakos yageukia mbinu za kielektroniki

  • | KBC Video
    8 views

    Serikali ya kaunti ya Machakos imehamia mfumo wa kukusanya mapato kwa njia ya kieletroniki . Hatua hiyo inalenga kuziba mianya katika ukusanyaji ushuru na kuboresha utoaji huduma. Waziri wa masula ya fedha ,usimamizi wa mapato na uchumi katika kaunti ya Machakos Onesimus Kuyu, amesema kuwa mfumo huo tayari umeanza kuzaa matunda kwa kuimarisha ukusanyaji ushuru katika kaunti hiyo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive