Serikali ya Makueni yapgia marufuku biashara ya kuzoa na kuuza mchanga kwenye mto Kaiti

  • | Citizen TV
    390 views

    Serikali ya Makueni imepgia marufuku biashara ya kuzoa na kuuza mchanga kwenye mto Kaiti. Wakazi wa eneo hilo wamekuwa wakilalamika kuwa shughuli hiyo imeharibu mazingira na kupunguza kiwango cha maji ya mto huo.