SERIKALI YA MAREKANI YAONGEZA UZALISHAJI WA CHANJO ZA COVID19

  • | VOA Swahili
    Maafisa wa kampuni ya kutengeneza dawa wanasema wanaharakisha usambazaji wa chanjo za Covid hapa nchini Marekani. Wamesema wanaweza kuzalisha chanjo za kutosha ifikapo mwisho wa mwezi July ili kukidhi mahitaji yote ya chanjo marekani.