Serikali ya Migori yaanza kuboresha masomo ya shule za chekechea

  • | Citizen TV
    81 views

    Serikali ya kaunti ya Migori imeanza shughuli za kuboresha masomo ya shule za chekechea Kwa kujenga madarasa katika shule mbalimbali za kaunti hiyo.