Serikali ya Nakuru Yawashirikisha Vijana Kupambana na Pombe Haramu na Dawa za Kulevya

  • | NTV Video
    96 views

    Kama njia mojawapo ya kupambana na unywaji wa pombe haramu na utumizi wa dawa za kulevya kwa vijana katika eneo la Kuresoi Kaskazini, serikali ya kaunti ya Nakuru iliandaa mashindano ya kandanda na kuwajumuisha vijana hao katika makundi waliojishebedua kwa maonyesho ya talanta tofauti walizozano na kupewa ushauri nasaha.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya