Serikali ya Nandi yaanza kutoa chanjo ya Surua

  • | Citizen TV
    76 views

    Wizara ya afya, kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Nandi pamoja na mashirika mengine imeanzisha mchakato wa chanjo ya siku 10 dhidi ya ugonjwa wa homa ya matumbo pamoja na surua.